Baada ya Wema Sepetu kushinda tuzo mbili usiku wa Jumapili April 1,2018 kama Best Actress na People’s choice amepata deal nono kupitia ushindi huo. Kwenye exclusive interview na Ayo Tv ameelezea kuhusu deal hilo lilolimpatia nafasi ya kusign mkataba na kampuni ya Augusters.
Wema Sepetu kawafungukia wanaosema hakustahili tuzo