Kuhusu suala la Wafanyabiashara wa Tanzania bado muafaka wake haujapatikana,hizi ni picha toka 92.9 Iringa ambako maeneo maarufu ambapo kwa Dar unaweza linganisha na Mtaa wa Congo ila huko panaitwa Miyomboni kuko kimya baada ya maduka yote ya bidhaa muhimu kufungwa.
Taarifa inasema wananchi na wakazi wa eneo hilo wanaendelea kupata tabu kutokana na mgomo wa kutumia mashine za kutolea risiti za tra.