Staa wa muziki kutokea Marekani Ariana Grande na Rappa Mac Miller wameachana baada ya kudumu katika mahusiano ya kimapenzi kwa miaka minne tokea 2015-2018.
Sababu ambazo zimekuwa zikiendelea kuhusiana na wawili hao kuachana ni kuwa kila mmoja yupo busy na kazi zake za muziki na kukosa muda wa kukaa pamoja kama wapenzi ila kwa upande wao wamebaki kama marafiki na kila mmoja kuheshimu maamuzi ya mwenzake.
Ariana Grande pamoja na Mac Miller walikutana baada ya Ariana kuachana na Big Sean ambaye walibahatika kudumu kwenye mahusiano ya kimapenzi kwa mwaka mmoja 2014-2015.
RAMBIRAMBI: Rammy Galis “Mungu anisaidie nitoe HUKUMU”