Usiku wa May 11,2018 msanii Walid ambaye yupo chini ya record label ya Amari Music inayomilikiwa na Patoranking kutokea Nigeria alifanya sherehe “Home coming party” pamoja na mashabiki zake pale katika club ya Paparazzi.
Bonyeza PLAY hapa chini kutazama mwanzo mwisho.
Walter Chilambo kazungumza na Vyombo vya habari