Jarida la Forbes Afrika 2018 limetaja vijana wenye ushawishi mkubwa Afrika wenye umri chini ya miaka 30 na limewashirikisha vijana kutokea nchi mbalimbali Afrika ikiwemo Afrika Kusini, Nigeria n.k
Jarida hilo limetaja vijana 90 wajasiriamali kwenye sector tatu ikiwemo ubunifu, teknolojia na biashara likiwahusisha masataa kwenye list hiyo akiwemo Wizkid(Nigeria), Falz(Nigeria), Davido(Nigeria) , Tania Omotayo, Beverly Naya, Cassper Nyovest (Afrika Kusini), Nasty C (Afrika Kusini)
Shilole asema aliyezaa naye amefia kwenye mkeka “R.I.P”