Leo Jun3 8, 2018 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dr. Mwigulu Nchemba anazungumza na waandishi wa habari akitoa maamuzi ya Serikali juu ya barua iliyoandikwa na Wizara ya Mambo ya Ndani kupitia kwa Ofisi ya Msajili wa Vyama ikilitaka Kanisa la Kilutheri Tanzania(KKT) kufuta waraka wa wake ndani ya siku 10.