Hii ilianza jana February 17 ni kuhusu dada aliyempiga mpaka kumuua mdogo wake wa damu,majirani wamezidi kutoa ushuhuda wao wanachokifahamu zaidi na vingine vinashanza ambapo taarifa imetoka kuwa alipigwa na chuma cha kuvunjia nazi.
Sikiliza kupitia 92.9 Clouds Fm Njombe.
Bonyeza play kusikiliza.