Mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi maarufu SUGU amelieleza Bunge kuwa tayari ameunda jopo la mawakili wake sita kwa ajili ya kuiburuza Mahakamani Baraza la sanaa Tanzania (BASATA) baada ya kudaiwa kuufungia wimbo wake mpya kwa madai kwamba hauna maadili.
Sugu amesema…>>>“Mimi sio Roma wala mimi sio Diamond, naiburuza BASATA Mahakamani kwa swala hili na ndio mtajua namna gani Nchi inatakiwa kuendeshwa”
“Mawaziri wetu sijui wanatoa wapi viburi hivi” –Mbunge Shangazi