Naibu Waziri wa Ajira, Kazi na Vijana Anthony Mavunde amesema kuwa ni kosa kisheria kwa mwanafunzi wa kiume kuoa akiwa bado yupo shuleni, Mavunde amesama hayo alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Sumve Richard Ndassa aliyetaka kujua sheria inasemaje endapo mwanafunzi wa kiume akawa na mahusiano na mwalimu wake wa kike.
Mbowe asababisha kesi ya Viongozi 8 wa CHADEMA kuahirishwa