Leo June 27, 2018 tunayo story kutokea kwa Katibu Mkuu, Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Prof. Elisante Ole Gabriel ambapo amewataka vijana kuwa na utamaduni wa kufanya kazi badala ya kujivunia na matokeo ya vyeti vyao.
Prof Gabriel amesema kitu kikubwa kinachoangaliwa katika kazi ni utendaji kazi ambapo Mwajiri aajiri cheti bali thamani ya utamaduni wa kufanya kazi ikiwemo kutunza muda, uzalendo, ubunifu pamoja na kuwa na thamani.