Leo July 3, 2018 Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Juliana Shonza ametembelea hifadhi ya Ziwa Manyara na moja ya jambo alilokutana nalo ni pamoja na maji ambayo yanadaiwa kuondoa mikosi kwa wale wanaoyagusa na maji hayo yanakuwa na moto kila siku na yai linaweza kuchemshwa kwa mujibu wa mhifadhi wa hifadhi hiyo.
RAIS MAGUFULI ‘NIMECHOKA KUTUMA RAMBIRAMBI’