Ni siku moja imepita toka taarifa za kifo cha mtoto wa Muna Love anayejulikana kwa jina la Patrick afariki dunia akiwa Nairobi nchini Kenya akipatiwa matibabu ambaye alifariki July 3,2018.
Baade taarifa zilienea kuhusiana na Peter Zacharia Komu aliyejitokeza na kudai ni baba mzazi wa Marehemu Patrick na kutaka msiba ufanyike nyumbani kwakwe Mwananyamala huku taarifa nyingine zikidai baba wa mtoto ni mtangazaji wa Clouds Tv Casto Dickson.
Kupitia instagram account ya Munalove amefunguka kuhusiana na mvutano ambao umekuwa ukiendelea kwenye mitandao ya kijamii kuhusiana na baba mzazi wa marehemu Patrick.
“JAMAN JAMAN 😭😭😭😭😭😭NAOMBA NIMZIKE MTOTO WANGU 😭😭😭😭VAENI VIATU VYANGU KUNA SIRI KUMBWA AMJAWAH KUIJUA NAWAOMBA NIMZIKE MTOTO WANGU ALAFU NDO MNITUKANE MIMI 😭😭😭😭😭😭NAUMIA JAMAN NAMUHESHIMU PETER SIWEZ KUWEKA KITU APA MANA NTAMWAIBISHA….SIWEZI KUMSEMA CASTO MANA YE ANAJUA WAPI ALIKOSEA NAWAOMBENI JAMAN NAOMBA NATAKA KUMZIKA MWANANGU MIAKA 2 NAHANGAIKA NA PAT WANGU 😭😭😭😭😭😭😭😭 NIMALIZE KUMZIKA NIONGEE NYIWE WANAWAKE MNAONIHUMUKU VAENI VIATU VYA SIRI NIZIZOHIFADHI “
“BABA WA MTOTO NI CASTO INATOSHA 😭😭😭😭😭😭😭😭NITUKANENI MIMI NIFE ILA PATI NI KIONGOZI ALIENIONGOZA NIONE MAISHA MAPYA NA NIMJUE MUNGU …NITALIA MILELE MIMI PATI WANGU😭😭😭😭😭😭😭😭LEO WANAKUGOMBANIA MWAANANGU NATAMANI URUDI MARA MOJA😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭MWANANGU NTALETA IJUMAA NA NTAMZIKA JUMAMOSI😭😭😭😭😭MSIBA UKO KWANGU MBEZI BEACH”
Esha Buheti “nawaza mengi mpaka nakufuru Mungu, picha ya ajali hainitoki”