Leo July 16,2018 Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imekwama kutoa hukumu ya kesi ya kutumia dawa za kulevya inayomkabili Wema Sepetu na wafanyakazi wake 2 kwa sababu kuna baadhi ya vitu havijakamilika.
Hukumu hiyo ilitarajiwa kutolewa na Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba baada ya mawakili wa upande wa utetezi kufunga ushahidi wao. Bonyeza PLAY hapa chini kutazama alichoongea Wema nje ya Mahakama
Malalamiko ya RC yamfanya Waziri Mbarawa kumhamisha Mkurugenzi