Club ya FC Barcelona ya Hispania leo Jumatatu ya August 6 2018 imetangaza rasmi kumtambulisha kiungo wao mpya raia wa Chile Arturo Vidal kwa vyombo vya habari na mashabiki wao.
FC Barcelona ambayo imemsajili Vidal akitokea FC Bayern Munich ya Ujerumani, imemtambulisha kwa mashabiki baada ya kukamilisha malipo ya uhamisho wa dau la pound milioni 27.
Adam Mchomvu alivyompa tabu sana Dahuu wa LeoTena Ndondo Cup 2018