Alfajiri ya August 4, 2018 Waziri wa Maliasili na Utalii Dr. Hamisi Kigwangalla alipata ajali ya gari wakati akitokea Arusha kabla ya kufika katika eneo la Magugu, Ajali hiyo ilisababisha kifo cha Afisa habari wa wizara, Hamza Temba.
Ayo TV imempata mpiga picha wa Waziri Kigwangalla ambaye ni mmoja wa majeruhi wa ajali hiyo ambaye ameeleza kila kitu kuhusu ajali hiyo ilivyotokea.