Mkali wa rap kutokea Wanene Chin Bees ameibiwa melody na bit ya wimbo wake wa ‘Kababaye’ na msanii wa Uganda ambaye ametumia melody na bit ya Kababaye na ku-rap kwa lugha ya kiganda kitu kilicho mfanya Chin Bees kuandika kwenye Instagram yake.
Chin Bees ameandika haya kuhusu msanii huyo kumuibia Melody yake…..>>>”Uganda mtanitoa damu hadi hii pia duuuh Sijui hata nisemeje embu nisaidieni hii kababayeeee imekuwaje……….. #basata#beesgang#trapplord” – Chin Bees
VIDEO: “KWANI DHAMBI KUTOKA NAE/AMBER LULU NINA MAMBO YAKUFANYA”
VIDEO: YOUNG DEE APOKONYWA GARI BAADA YA KUHAMA MANAGMENT..?