Mkongwe Dudubaya amesema kuwa yeye anapenda kumwambia mtu ukweli haijalishi ni nani yake na ndiomana hata marafiki zake wakaribu wanaogopa kuchepuka mbele yake kwani wakifanya hivyo yeye akiona anawambia ukweli kisha anakwenda kumueleza mke wa rafiki yake ukweli.
Ameyazungumza hayo wakati alipokuwa akiwaongelea wasanii Chegge na Temba kuhusu kuwaambia ukweli ya kwamba wanaiga muziki wa nje kuliko kufanya muziki wa hapa nyumbani na istoshe hata huo muziki wanaoufanya umekuwa bado hauwapi show za hizo Nchi wanazoziiga kufanya huo muziki.
BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMTAZAMA DUDU BAYA
VIDEO: Mrembo kafunguka ishu ya kutengwa baada ya kurekodiwa akiwa kwa Mganga
EXCLUSIVE: Mrembo ambaye picha zake zilisambaa akiwa kwa Mganga AFUNGUKA