Dudu Baya ameendelea kutoa EXCLUSIVE ambapo time hii amesema kwamba anatafuta mwanamke wa kuoa kwani anatamani sana kuingia kwenye ndoa sababu vitu vingi alivyowai kutamani ameshavifanya ikiwemo kwenda nje ya nchi ambapo amedai anaenda kila siku, kupanda ndege kashapanda sana na sasa anatamani kuingia kwenye ndoa.
BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA VIDEO
DUDUBAYA “UKIWA MSHIKAJI WANGU UKACHEPUKA NAMCHANA MKEO”
Mrembo kafunguka ishu ya kutengwa baada ya kurekodiwa akiwa kwa Mganga