Rapper Young D amezungumza ishu ya yeye kufunga ndoa ikiwa ni baada ya kutoa wimbo wake mpya wa ‘Naoa’ ambapo Young D amesema kwamba anashangaa kuona watu hawajaamini yeye alivyosema anaoa lakini wakati alivyotoa wimbo wa ‘Dada anaolewa’ watu waliamini.
Hata hivyo Young D amesema kitendo cha watu kumjadili kuwa yeye hawezi kuoa imemfanya ajishangae na kuendelea kujitathimini na kumuongezea utamani wa kufunga ndoa sababu wapo watu waliosikia anafunga ndoa waka muheshimu.
YOUNG D…>>>“Najiuliza kwani bado na maseke mengi au..? au watu hawapendi nioe..? Najaribu kujitathimini ila watu wajue kwamba dalili ya mvua ni mawingu..”
SHILOLE AMUALIKA RAIS MAGUFULI SHISHI FOOD KWA KIINGEREZA “ASK ANYBODY”
“Darassa amepata mtoto/ kutumia madawa watu watamuona” – PRODUCER