Mwalimu Mkuu wa Shule ya msingi Kibeta, Enatha Ezidory ambayo Mwanafunzi wake alichapwa hadi kufariki kisa kuhisiwa kaiba pochi ya Mwalimu ametoa maelezo yake kwa Mkuu wa Mkoa Kagera Brigedia Gaguti ikiwa ni muda mfupi kabla ya kusimamishwa kazi.
Mwalimu Ezidory amesema wakati Mwanafunzi Sperius anachapwa yeye alikuwa ameenda kuwatafuta Wanafunzi wa darasa la saba ambao walikuwa hawajafika shuleni ndipo akapokea taarifa wa njia ya simu.
LIVE MAGAZETI: Magufuli amnyuka Makonda, Lowassa ‘amvua nguo’, Bashiru atema nyongo