Muimbaji Gigy Money amerudi tena na time hii amezungumza na kugusia ishu yake ya kumuongelea Zari ambapo kasema kuwa Zari hapaswi kujibu vibaya watu mtandaoni na kuwadharau lakini pia ameongezea kwa kusema kuwa sahivi yeye haitaji kudanga ni bora akate mauno tu kwani muziki unalipa kuliko kudanga.
HII VIDEO HAPA CHINI INAKILA KITU ALICHOONGEA GIGY BONYEZA PLAY KUMTAZAMA
LULU DIVA ATIMBA KWENYE SHEREHE YA JUX NA NGUO YA MILION 7
JUX kwenye Birthday party yake amkumbuka Ommy Dimpoz