Leo September 6, 2018 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Magufuli amezungumza na Wananchi wa Butiama mkoani Mara ambapo ndipo Muasisi wa Taifa la Tanzania Mwl. Julius Kambarage Nyerere alipozaliwa na alipozikwa.
Akizungumza mbele ya Mama Maria Nyerere ambaye ni Mjane wa Mwl. Nyerere, Rais Magufuli ametaja baadhi ya maeneo ambayo angetaka yafanyiwe marekebisho kwa ajili ya kumuenzi Baba Taifa.
“Tumtangaze Nyerere kila mahali, tuheshimu Azimio la Arusha alilolileta ambalo lina umoja wetu, tuheshimu mwelekeo wake, yote aliyoyaamini tukiyaheshimu tutakuwa taifa kubwa” Rais Magufuli
“Tumtangaze Nyerere kila mahali, tuheshimu Azimio la Arusha alilolileta ambalo lina umoja wetu, tuheshimu mwelekeo wake, yote aliyoyaamini tukiyaheshimu tutakuwa taifa kubwa” Rais Magufuli#MillardAyoUPDATES pic.twitter.com/1qFB2UK7aS
— millardayo (@millardayo_) September 6, 2018
“Mradi wa “Stigler Gorge” ukiisha itabidi kuubadilisha jina na kuwa ‘Nyerere Gorge’. Haiwezekani mpaka jina tuchukue la kwao” Rais Magufuli
“Mradi wa “Stigler Gorge” ukiisha itabidi kuubadilisha jina na kuwa ‘Nyerere Gorge’. Haiwezekani mpaka jina tuchukue la kwao” Rais Magufuli#MillardAyoUPDATES pic.twitter.com/7gRFKcywGa
— millardayo (@millardayo_) September 6, 2018
“Unapokuwa na kiporo kwanza unampatia mtoto wako na akishashiba ndipo unampatia mtoto wa jiarani, ivyo maendeleo lazima yaanze kwa Muhongo, Mkono na Mathayo ndipo yaende kwingine” Rais Magufuli
“Unapokuwa na kiporo kwanza unampatia mtoto wako na akishashiba ndipo unampatia mtoto wa jiarani, ivyo maendeleo lazima yaanze kwa Muhongo, Mkono na Mathayo ndipo yaende kwingine” Rais Magufuli#MillardAyoUPDATES pic.twitter.com/K7A0oGR5SL
— millardayo (@millardayo_) September 6, 2018
“Hauwezi ukazungumzia nchi nyingi za Afrika ambazo zinafurahia matunda ya uhuru bila kumtaja baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere kwani ni shujaa wetu” -Rais Magufuli
“Hauwezi ukazungumzia nchi nyingi za Afrika ambazo zinafurahia matunda ya uhuru bila kumtaja baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyere kwani ni shujaa wetu” -Rais Magufuli#MillardAyoUPDATES pic.twitter.com/MiGbntVjit
— millardayo (@millardayo_) September 6, 2018
“Wananchi muendelee kupendana, msibaguane kwasababu ya vyama, Dini hata Ukabila. Sisi sote ni wa moja na haya ndio yalikuwa yanasisitizwa sana na muasisi wa taifa hili Baba wa Taifa” – Rais Magufuli
“Wananchi muendelee kupendana, msibaguane kwasababu ya vyama, Dini hata Ukabila. Sisi sote ni wa moja na haya ndio yalikuwa yanasisitizwa sana na muasisi wa taifa hili Baba wa Taifa- Rais Magufuli#MillardAyoUPDATES pic.twitter.com/cohPX0Ziy2
— millardayo (@millardayo_) September 6, 2018
“Ndugu zangu wa Butiama msigombane, malizeni hii migogoro msisubiri viongozi wa nchi. Lakini na wananchi wa Musoma ni lazima mtambue serikali ipo, nawaomba sana msiuabishe huu mkoa mahali alipozaliwa Baba wa Taifa kwa kuwa na migogoro mingi”- Rais Magufuli
“Ndugu zangu wa Butiama msigombane, malizeni hii migogoro msisubiri viongozi wa nchi. Lakini na wananchi wa Musoma ni lazima mtambue serikali ipo, nawaomba sana msiuabishe huu mkoa mahali alipozaliwa Baba wa Taifa kwa kuwa na migogoro mingi”- Rais Magufuli#MillardAyoUPDATES pic.twitter.com/qs2guZifKs
— millardayo (@millardayo_) September 6, 2018
Rais John Magufuli amemuagiza Waziri Seleman Jafo kuikarabati Shule ya Msingi Mwisenge, Butiama aliposoma Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere.
Rais John Magufuli amemuagiza Waziri Seleman Jafo kuikarabati Shule ya Msingi Mwisenge, Butiama aliposoma Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere. #MillardAyoUPDATES pic.twitter.com/CfjRkgkbWP
— millardayo (@millardayo_) September 6, 2018
“Wako wengine wakiolewa hata na muendesha daladala au akipata tu mtu mwenye kaduka ana badilika tabia yake na anashindwa hata kusalimia majirani zake, wewe umekuwa mama wa taifa hili” – Rais Magufuli
“Wako wengine wakiolewa hata na muendesha daladala au akipata tu mtu mwenye kaduka ana badilika tabia yake na anashindwa hata kusalimia majirani zake, wewe umekuwa mama wa taifa hili” – Rais Magufuli#MillardAyoUPDATES pic.twitter.com/NwpnQbcajc
— millardayo (@millardayo_) September 6, 2018
“Wake wa viongozi wengi wanatakiwa wajifunze kupitia kwako, nimeona wake wa viongozi wengi na wengine hata huwezi kuwagusa, wewe mama upo hivyo hivyo kama ulivyoletwa duniani na Mungu hongera sana mama Maria Nyerere” – Rais Magufuli
“Wake wa viongozi wengi wanatakiwa wajifunze kupitia kwako, nimeona wake wa viongozi wengi na wengine hata huwezi kuwagusa, wewe mama upo hivyo hivyo kama ulivyoletwa duniani na Mungu hongera sana mama Maria Nyerere” – Rais Magufuli#MillardAyoUPDATES pic.twitter.com/m9JKSSocax
— millardayo (@millardayo_) September 6, 2018
“Mama Nyerere wewe ni Mama wa tofauti sana, ulivyokuwa na Mzee wetu Mwl. Julius Kambarage Nyerere mpaka ulivyo leo tabia yako haijabadilika, ni matumanini yangu wakina Mama wengi watajifunza tabia yako” – Rais Magufuli
“Mama Nyerere wewe ni Mama wa tofauti sana, ulivyokuwa na Mzee wetu Mwl. Julius Kambarage Nyerere mpaka ulivyo leo tabia yako haijabadilika, ni matumanini yangu wakina Mama wengi watajifunza tabia yako” – Rais Magufuli #MillardAyoUPDATES pic.twitter.com/G7E9UEgtTg
— millardayo (@millardayo_) September 6, 2018
Kangi Lugola alivyotetea ‘kibarua’ chake mbele ya Rais Magufuli