Ad

Habari za Mastaa

“Nilimpitisha Jux kwa Vanessa kuona anafanana na Trey Songz/ Whozu kajitoa Ufahamu, Siwezi”

on

Msanii Mimi Mars ambaye ni ndugu wa damu na Vanessa Mdee amesema kwamba hakuwai kumfuatilia Juma Jux kabla hajawa na Vanessa Mdee na wakati dada yake Vanessa anaanza mahusiano na Jux alimueleza ndipo yeye akaona sawa kwakuwa alimuona Jux anafanana na msanii wa Marekani Trey Songz.

Mimi Mars ameyaongea hayo wakati wa mahojiano na Ayo TV na millardayo.com ambapo hakuacha kujibu kuhusu msanii Whozu ambaye hivi karibuni alidai kumpenda Mimi Mars na anatamani kuwa naye kwenye mahusiano ya kimapenzi. Bonyeza PLAY hapa chini kusikia alichokijibu MIMI MARS

VIDEO: Mastaa wanaovaa pete za gharama kubwa, Wolper zaidi ya Mil.6 Romy Mil.4 na nusu

Soma na hizi

Tupia Comments