Baada ya sakata la kutaka kupigana kati ya Cadri B pamoja na Nicki Minaj mwishoni mwa wiki hii katika maonyesho ya Harpers Bazaar Icons Fashion Week yaliyofanyika usiku wa September 08,2018.
Kwa mujibu wa mtandao wa TMZ unaripoti kuwa Nicki Minaj hatofungua kesi dhidi ya Cardi B ingawa wawili hao walionekana wakigombana na wakirushiana maneno kutokana na videos zilizokuwa zikisambaa kwenye mitandao ya kijamii, Cardi B akidaiwa kuwa ndio mwanzilishi wa ugomvi huo.
Mwisho wake Cardi B aliondoka na jeraha usoni na taarifa zilidai kuwa jeraha hilo lilikuja baada ya kuzuiwa na bodyguard kufanya vurugu na sio kwamba aliumizwa na Nicki Minaj kama taarifa zilivyokuwa zikisambaa kwenye mitandao ya kijamii.
Nay wa Mitego kahoji kazi za wakuu wa wilaya