Ili uweze kugusa maisha ya wananchi wengi, basi inua kipato chao. Kwani kwa kuinua kipato utagusa familia kwa maana ya Mke, mume, watoto hata ndugu na jamaa mbalimbali.
Tafiti nyingi zinaonyesha kuwa akina mama wanapoguswa na hili la kipato basi familia zinaguswa moja kwa moja
Hili linaelezwa vizuri zaidi na Jackline John ambaye ni mke wa Godfrey Kayuga mshindi wa bajaj mpya kutoka SportPesa ambayo imemwezesha kuinua kipato kwa kupanua biashara yake, kujenga na kulipia ada za watoto.
Bi Jackline anasema SportPesa imeleta hatua mpya katika maendeleo ya familia yao kwa kuwapa bajaj mpya iliyofanyika daraja la kufikia maendeleo waliyoyatafuta muda mrefu
SportPesa wanaamini kwa vitendo juu ya maendeleo ya watu na ndipo walipokuja na promosheni hii kabambe ambayo mafanikio yake yanaonekana kwa uwazi katika mikoa zaidi ya ishirini na tatu.
Familia ambazo zimefikiwa na mpango huu zina ujumbe mkubwa juu ya SportPesa na maisha yao