Ubalozi wa China kwa kushirikiana na Tulia Trust leo wamesaini makubaliano ya kutoa zawadi kwa washindi wa mashindano ya ngoma za asili zinazojulikana kwa jina la Tulia Traditional Dance 2018.
Ubalozi wa China chini ya kaimu wa balozi wa China Jijini Dar es Salaam XU Chen amethibitisha kuwa ubalozi wa China utatoa pikipiki 10 kwa washindi wa ngoma hizo kwa mwaka 2018, makabidhiano hayo yamefanywa leo ubalozi wa China kati ya Naibu Spika wa Bunge Dr Tulia Ackson na XU Chen.
BREAKING: Hans Pope Simba anatafutwa na TAKUKURU, donge nono limetangazwa