Mkuu wa wilaya Bukoba Deodatus Kinawilo amewataka wawekezaji kuendelea kujitoa kuwekeza Bukoba na kuwaomba kumpa taarifa kwa yeyote atakayeleta kikwazo kwao pindi watakoomba kiwanja ili wamshughulikie.
Ameyasema hayo wakati akiongea na wananchi waliohudhuria katika mahafari ya tano ya Chuo cha King Rumanyika.