Mtoto wa kwanza wa marehemu mzee Majuto ambaye ni maarufu kwa jina la Junior King Majuto amesimulia safari yake ya muziki ambapo kaeleza alipoanzia kufanya muziki kupitia live bendi akiwa kwenye bendi ya jeshi kisha baadae kusafiri mpaka nchi za uarabuni kupitia muziki.
Pamoja na kusimulia hayo amesema kwamba sasa hivi amemaua kufanya na muziki wa bongofleva ambapo ameachia wimbo wake mpya ambao Baba yake mzee Majuto amehusika kwenye uandishi wa wimbo huo kabla hajafariki.
Bonyeza PLAY hapa chini kutazama VIDEO
MTOTO WA MAJUTO: “Maiti ya mzee ipo ndani mama hali chakula cha msiba, ananunua nyumba ya tatu”
Miss Lake zone “Endeleeni kuchamba gari langu, Mimi naendesha nyie mnatembea kwa miguu”