Mbunge wa Dodoma mjini ambaye pia ni Naibu Waziri ofisi ya Waziri mkuu anayesimamia Ajira, Kazi na vijana Anthony Mavunde ameahidi kuanzisha tuzo maalum zinazotarajiwa kuanza mwaka 2019 kwa ajili ya kushindanisha ufaulu wa wanafunzi katika jimbo lake ambapo washindi wote watasomeshwa bure kupitia ofisi yake na walimu ambao masomo yao yataongoza watatunukiwa.
Agizo la Waziri Jafo kwa mikoa iliyoshindwa kukusanya mapato