Leo October 11, 2018 Jeshi la Polisi Mkoani Arusha limemkamata Frank Samweli kwa tuhuma za kusafirishwa Dawa za Kulevya aina ya Mirungi Kilo 207 ambapo mtuhumiwa huyo amekamatwa baada ya kujiingiza katika msafara wa gari zilizokuwa zinaenda kuzika.
Kamanda wa Polisi Arusha, Ramadhan Ng’anzi amesema walishangaa gari hiyo kuwepo kwenye msafara huo katika eneo la Kikatiti bila ya kuwa na maua ndipo askari alipoitilia shaka na kuanza kulifuatilia.
Baba Mzazi wa MO DEWJI “ni kweli Mwanangu ametekwa”