Leo October 13, 2018 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa anahitimisha Tamasha la Urithi Festival ametoa muda wa Miezi miwili na nusu kwa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo iwe imekamilisha mchakato wa Tanzania kuwa na vazi la Taifa.
Arusha wamepiga shangwe Alikiba alivyoperform Urithi Festival Arusha