Jeshi la Polisi limesema mfanyabiashara Mohammed Dewji amesema sababu ya msingi iliyopelekea yeye kutekwa ni fedha. Ameeleza kwamba, watekaji walitaka kulipwa ndio wamuachie.
Polisi “Mohammed Dewji ametuambia sababu ya msingi iliyopelekea yeye kutekwa ni FEDHA, Watekaji walitaka kulipwa ndio wamuachie, kingine ni Watekaji walimtendea wema kwa kumlazimisha kula hata pale alipokua akisita kula”
Familia “MO DEWJI alipiga Simu yeye mwenyewe kwa Baba yake”