Siku ya leo October 23, 2018 chama cha Mapinduzi CCM kilikutana na wasanii kutoka Bongo Flevani na Bongo Movie pamoja na wadau kujadili mchongo na maslahi mapana kuhusu tasnia zote mbili, ambapo baadhi ya wasanii walishiriki akiwemo Steve Nyerere aliyepata bahati ya kuzungumza na vyombo vya habari.
Tazama alichoongea Steve Nyerere kwa kubonyeza PLAY hapa chini.
‘Kauli ilitafsiriwa tofauti, CCM itaendelea kufanya kazi na wasanii’– POLE POLE
Naibu Waziri ‘Tumeweza kuangalia ni fursa gani ambazo zitawafaa wasanii’