Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda muda huu kupitia AyoTV anatangaza kamati itakayotokomeza mashoga na wasambazaji wa video chafu pamoja na nyumba zinazotumika kurekodia movie za Ngono ambazo imedaiwa kuwa zimefika nyumba 24 kwenye mkoa wa Dar es salaam. Unaweza kubonyeza play hapa chini kutazama LIVE
ONYO: Watumishi wanaotoka ofisini saa 9 alasiri ‘Hii serikali ni saa 24’