Leo November 6, 2018 Washtakiwa watano wanaokabiliwa na tuhuma ya mauaji ya watoto wawili Bukoba ambao walikutwa wamechinjwa wamefikishwa Mahakamani kwa mara ya kwanza.
Wakili wa Serikali mkoa wa Kagera, Nestory Nchimani amesema kesi hiyo ip katika hatua ya upelelezi na bado unaendelea lakini leo wamefikishwa mahakamani kwa ajili ya kusomewa shtaka lao.
“Mtoto wa Masogange tumempa masharti, asituletee ustaa” – Mwaselela