Mbunge wa Singida kaskazini Justini Monko ameita Serikali ya awamu ya tano chini ya Rais John Pombe Magufuli kujitathmini na kulifanyia kazi suala la kuboresha mazingira ya elimu nchini ambalo amedai limekuwa kikwazo kikubwa licha ya kwamba Serikali imejipambanua kuwa ni ya wanyonge.
DC Chunya alivyozama porini kutatua mgogoro wa wakulima na wafugaji