Mbunifu wa mavazi ya kiume kutokea nchini Tanzania Martin Kadinda ameibuka mshindi na kurudi nyumbani na tuzo ya Mbunifu bora wa mavazi Afrika 2018 katika tuzo za The Man zilizofanyika usiku wa week ya maonyesho ya mavazi ya kiume yaliyofanyika Lagos Nigeria.
Kupitia ukurasa wa instagram wa Martin Kadinda amelishukuru Baraza la Sanaa Tanzania(BASATA) ikiwemo na marafiki zake wa karibu na kumtaja Wema Sepetu ikiwemo na team yakepamoja na kumshukuru Mungu
“Africa’s Designer of The Year 2018 🤴🏼Am Humbled. The World Is ReadY👑 Shukurani Za dhati kwa mwenyezi Mungu kwa Afya, akili na ubunifu…Shukrani kwa Wizara Ya Habari, michezo na Utamaduni Kupitia Basata.Shukurani za Dhati kwa Familia, mama Yangu, dada na kaka zangu.. wadogo zangu na ndugu zangu wote”
“Wema Sepetu and Ur Amaizing Team wema and die Hard fans🙌🏽🙌🏽🙌🏽 MK empire with All the Love and Support always🙌🏽 My friends mnajijua.. cant mention all of you.. ila asante sana.Las Vegas nawasahauje sasa😂🤣😂😂 Majirani zangu vipenzi sijawasahauNitamaliza wote ? My fans in Belgium, south africa, Holland, china, states and All of the World 🌎 “
SUPA NYOTA WA SINGIDA ANAEJIITA ‘NGWEA’ MWINGINE