Leo November 30, 2018 Kikundi cha Wananchi katika Wilaya ya Ngara Mkoani Kagera wamefikishwa Polisi kwa kitendo cha kutowapeleka Watoto wao Shule wakidai imani ya Dini yao inawakataza kufanya hivyo.
Akizungumza na AyoTV, Mwenyekiti wa Kitongoji cha Ngomba Ramadhan amesema kuna Watu watano tumewakamata sababu wamekataa kuwasajili Watoto Shule wakidai imani yao ya Dina haitaki.
POLISI WALIVYOWADHIBITI WANACHAMA WA CHADEMA MAHAKAMA KUU, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA