Serikali kupitia Wakala wa barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) imeagiza wasafirishaji wote wa mizigo kwa njia ya magari ikiwemo malori kuzingatia ukomo wa uzito uliotolewa na Serikali ili kudhibiti uharibifu wa barabara unaojitokeza mara kwa mara na endapo watashindwa kufanya hivyo hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yako.
Kauli hiyo imetolewa na Mkurugrnzi Mtendaji wa TARURA Eng. Victor Seff wakati akizungumza na Waandishi wa habari ofisini kwake Dodoma leo.
LIVE MAGAZETI: Membe atua usiku kikachero, Lowassa afunguka, JPM ateta