Hatimaye mrembo Wema Sepetu amezungumza kuhusu duka lake jipya lililopo maeneo ya Mwananyamala Dar Es Salaam na anategemea kulizindua siku ya Jumatano December 12, 2018. Bonyeza PLAY hapa chini kusikia Wema Sepetu akielezea.
VIDEO: Mimi Mars kafunguka safari yake Coke Studio na mipaka waliyowekeana na Vanessa