Meneja wa TARURA Mkoani Mwanza Eng. Mohamed Abdallah amesema TARURA imetenga zaidi ya BILIONI 3 zitakazo tumika kukamilisha miradi 11 ya barabara na madaraja, miradi hiyo ambayo imeshaanza inatarajiwa kukamilika ndani ya mwaka huu.
“UKIKAMATWA NA POLISI BURE, UACHIWE BURE, HATA JUMAMOSI” LUGOLA