Leo January 4, 2019 Rais Magufuli ameshuhudia utiaji saini mkataba wa mauziano ya mahindi kati ya Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) na Shirika la Chakula Duniani (WFP).
millardayo.com inakusogezea Nukuu za Rais Magufuli leo wakati wa utiaji saini huo uliofanyika Ikulu.
“Vijana wa CLOUDS nawasikiaga wanasema hii ni fursa, sasa fursa haziji tu kwa Mtu mmoja mmoja lakini pia zinaenda hadi kwa Serikali, kwamba Geographical position tuliyopo inaweza kutumika kama fursa” Rais Magufuli
“Vijana wa CLOUDS nawasikiaga wanasema hii ni fursa, sasa fursa haziji tu kwa Mtu mmoja mmoja lakini pia zinaenda hadi kwa Serikali, kwamba Geographical position tuliyopo inaweza kutumika kama fursa” Rais Magufuli#MillardAyoUPDATES pic.twitter.com/mWN3xxipDG
— millardayo (@millardayo) January 4, 2019
“World Food Programme huwa wanapeleka vyakula kwenye Nchi zenye matatizo Duniani, kwa bahati mbaya Sisi ambao ni Wakulima hapa wanapata bei ndogo, tumekuwa hatushiriki kwenye soko hilo la kuwauzia kwa hiyo vyakula vingine vinatoka Ulaya” Rais Magufuli
“World Food Programme huwa wanapeleka vyakula kwenye Nchi zenye matatizo Duniani, kwa bahati mbaya Sisi ambao ni Wakulima hapa wanapata bei ndogo, tumekuwa hatushiriki kwenye soko hilo la kuwauzia kwa hiyo vyakula vingine vinatoka Ulaya” Rais Magufuli #MillardAyoUPDATES pic.twitter.com/LTGuEx7vxI
— millardayo (@millardayo) January 4, 2019
“TANROAD, TRA na TPA msimamie sio kontena lisimamishwe njiani kwa siku mbili, ukiona vyakula vya WFP viachie tu viende vifike haraka ili Wakulima waweze kupata pesa zao haraka” Rais Magufuli
“TANROAD, TRA na TPA msimamie sio kontena lisimamishwe njiani kwa siku mbili, ukiona vyakula vya WFP viachie tu viende vifike haraka ili Wakulima waweze kupata pesa zao haraka” Rais Magufuli#MillardAyoUPDATES pic.twitter.com/VDCFqZpQC3
— millardayo (@millardayo) January 4, 2019
“Ni wajibu wetu fedha zinazokuja kuwasaidia Wakimbizi ktk Nchi mbalimbali, tupate kufaidika na matatizo yao, wao wapigane kule sisi tupate hela, sijasema napenda wakipigana” Rais Magufuli
“Ni wajibu wetu fedha zinazokuja kuwasaidia Wakimbizi ktk Nchi mbalimbali, tupate kufaidika na matatizo yao, wao wapigane kule sisi tupate hela, sijasema napenda wakipigana” Rais Magufuli#MillardAyoUPDATES pic.twitter.com/kMWYdojbcI
— millardayo (@millardayo) January 4, 2019
“NFRA palikuwa na matatizo makubwa kila Serikali inatenga hela za kununua chakula zaidi ya Tani 250, lakini hizi Tani zinakuwepo hatupatagi njaa na hizo Tani hatujuagi zinaendaga wapi” Rais Magufuli
“NFRA palikuwa na matatizo makubwa kila Serikali inatenga hela za kununua chakula zaidi ya Tani 250, lakini hizi Tani zinakuwepo hatupatagi njaa na hizo Tani hatujuagi zinaendaga wapi” Rais Magufuli#MillardAyoUPDATES pic.twitter.com/INs5ZMC08E
— millardayo (@millardayo) January 4, 2019
“Wakati mwingine tatizo letu sisi Watanzania tunajichelewesha wenyewe, kwahiyo ukiona kontena au vya kula vya World Food Programme imebandikwa nembo yake viachie tu viende vifike haraka” Rais Magufuli
“Wakati mwingine tatizo letu sisi Watanzania tunajichelewesha wenyewe, kwahiyo ukiona kontena au vya kula vya World Food Programme imebandikwa nembo yake viachie tu viende vifike haraka” Rais Magufuli#MillardAyoUPDATES pic.twitter.com/3KtY4TaFfi
— millardayo (@millardayo) January 4, 2019
“NFRA mjipange vizuri hizi Tani zinazohitajiwa na WFP wapeni hata wakitaka Tani 100 wape kwasababu wanalipa pesa, mtakuwa mmewapa motivation wakulima wetu kwa kupata pesa kwa wakati muafaka na kulima katika msimu unaokuja” Rais Magufuli
“NFRA mjipange vizuri hizi Tani zinazohitajiwa na WFP wapeni hata wakitaka Tani 100 wape kwasababu wanalipa pesa, mtakuwa mmewapa motivation wakulima wetu kwa kupata pesa kwa wakati muafaka na kulima katika msimu unaokuja” Rais Magufuli#MillardAyoUPDATES pic.twitter.com/O4R8qJaCx0
— millardayo (@millardayo) January 4, 2019
‘’Watanzania tunaweza ku-supply vyakula vya misaada hata Ulaya kwa sababu matatizo yapo tu, zipo Nchi zenye shida Afghanistan, Syiria wanahitaji mahindi kutoka kwa watani zangu Wafipa’’ Rais Magufuli
‘’Watanzania tunaweza ku-supply vyakula vya misaada hata Ulaya kwa sababu matatizo yapo tu, zipo Nchi zenye shida Afghanistan, Syiria wanahitaji mahindi kutoka kwa watani zangu Wafipa’’ Rais Magufuli#MillardAyoUPDATES pic.twitter.com/i3ug1fYssh
— millardayo (@millardayo) January 4, 2019
“UKIKAMATWA NA POLISI BURE, UACHIWE BURE, HATA JUMAMOSI” LUGOLA