January 4, 2018 Mbunge wa Geita Vijijini Joseph Musukuma amepiga marufuku michezo ya kubahatisha (Kubet) kwenye Jimbo lake na amewataka Wachina waondoe mashine zao.
Musukuma amewaambia “Mchawi wetu kwa sasa ni Kubet, hadi Watoto wa shule wanabet, hakuna mtu ametajirika na kamali Duniani kote kamali ni umasikini, Wakinamama mume akikuachia jero fanya akili akute umechoma kuku na maini, akikikuuliza mwambie nimetumia akili”
RC MWANRI AWAFUNGUKIA WANAOMCHONGANISHA NA RAIS “SIFURAHISHWI HATA MUNGU ANAMTII”