RC Aggrey Mwanri wa Tabora wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Asasi isiyo ya Kiserikali ya Walimu wa Elimu maalum ametoa maagizo kwa Viongozi na jamii ya Mkoa wa Tabora kuweka mazingira rafiki kwa watu wenye mlemavu ili kuliwezesha kundi hili
“Suala la Elimu kwa Walemavu lazima libebwe na Familia si yeye alipenda kuwa hivyo, ukitaka kuwasaidia watu masikini duniani kote somesha watoto, tumejiwekea lengo 2020-2025 kila nyumba ya Mnyamwezi itupatie Graduate wa Chuo Kikuu ukiwa na lengo linakupa mkakati” RC Mwanri
NAIBU WAZIRI ADANGANYWA, AAGIZA MHANDISI, MKANDARASI ‘WASUKUMIWE NDANI’