Serikali kupitia kwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya makazi William Lukuvi Bungeni Dodoma imetoa onyo kwa kampuni ya Mohammed Enterprises inayomilikiwa na Mohammed Dewj kwamba endapo atashindwa kuyaendeleza mashamba yake aitamfutia umiliki.
BREAKING: RAIS MAGUFULI AMPA DAWA YA BUNDI SPIKA, “TUMUOGOPE MUNGU”