Habari za Mastaa

Mama Nandy: “Nilifatwa nikabebwa na Polisi, Nandy akabaki analia tu” (+video)

on

Wazazi wa Mwimbaji Staa wa Bongofleva Nandy ndio waliitambulisha ngoma mpya ya Nandy iitwayo ‘hazipo’ ambapo walifanya Exclusive Interview na millardayo na kuongea mengi, Mama yake amehadithia jinsi alivyobebwa na Polisi na kushikiliwa kituoni kwa saa kadhaa, tazama full Interview kwa kubonyeza play hapa chini

BABA NANDY: “MPAKA LEO SIITAKI VIDEO YA NANDY NA BILLNASS, …….WALIMPIGA TEKE”

.

Soma na hizi

Tupia Comments