Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Kangi Lugola amelieleza Bunge kuwa Jeshi la Polisi nchini limeshindwa kuendelea na kazi ya upelelezi wa kesi ya kupigwa risasi kwa Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu lililotokea September 7, 2017 nyumbani kwake Dodoma wakati akitokea Bungeni.
MWANZO MWISHO: HATARI WABUNGE WALIVYOTIMUA MBIO KUTOKA NJE