Leo February 13, 2019 Mbunge wa Iramba Magharibi Dkt. Mwigulu Nchemba amepata ajali ya gari akitokea Iringa kuelekea Singida akipitia Dodoma baada ya kumgonga mnyama aina ya punda.
Mkurugenzi Hospitali ya Benjamin Mkapa Dkt. Alphonce Chandika pamoja na Nchemba mwenyewe wamezungumzia tukio hilo pamoja na hali ya mgonjwa ilivyo kwa sasa.
Waziri Ummy Mwalimu alivyoshangazwa na Madaktari Bingwa wa moyo Dodoma