Tweets 6 za mwisho kutoka kwa Mwanamuziki wa Hip Hop Golden Mbunda, maarufu King Zillah “Godzilla” aliyefariki dunia ghafla usiku wa kuamkia leo Jumatano, February 13, 2019 nyumbani kwao Salasala Jijini DSM.