Tunayo story kutokea kwa Muandaaji wa Matamasha ya Pasaka nchini, Alex Msama ambapo amezungumzia umuhimu wa watu kutoa sadaka kwa Yatima. Pia Msama amesema fedha atakazoingiza kupitia tamasha la Pasaka linalotarajiwa kufanya hivi karibuni atazitoa kwa ajili ya Yatima.
Mwijage atua Kagera afunguka “Maendeleo hayaji kwa kukimbizana na watu”